Lizaboni umepotelea wapi?

Swali TATA
 
atakuwa anatafuta kazi ktk tv station ya uchambuz wa magazet ili mkulu amuone
 
Yawezekana unalako jambo
 
Sasa hivi hali ngumu jamani acheni utani.. mimi nina gunia kama 100 za mbaazi na dengu gumia 60 hapa Kondoa wateja wetu walikuwa wahindi sasa hivi hawanunui tena wanasema biashara hailipi na serikali iliyopo madarakani sio rafiki wa wafanyabiashara hivyo wamefunga biashara..Soko la ndani kama halipo sijui tutaishije hivi kilimo chenyewe cha mkopo
 
Pole sana ndugu. Vumilia. Huu ugumu ni wa muda mfupi. Baadaye mambo yatakuwa mazuri. KUMBUKA KUWA MVUMILIVU HULA MBIVU.
 
Atakuja na ID nyingine kulalamikia serikali ya Magufuli kwenda mlama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…