Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,281
- 31,415
CDM yashinda udiwani Lizaboni Songea
CDM yashinda udiwani Lizaboni Songea
Tuwekee data mkuu Fekifeki!!amini usiamini, CDM tumeshinda Lizaboni!
mimi nipo hapa hapa Lizaboni,
Magamba tulieni!
amini usiamini, CDM tumeshinda Lizaboni!
mimi nipo hapa hapa Lizaboni,
Magamba tulieni!
kama upo lizaboni si utoe takwimu?
Haisadii mkuu! nakuhakikishia kwamba tumeshinda kwa kishindo Lizaboni.Lete mchanganuo mzima mkuu!