Wakuu yule jamaa anayetuhumiwa kusambaza umeme kwa kasi ambayo hata Ngeleja/Tanesco hawawezi kuifikia leo kaachiwa na yuko huru baada ya kukaa jela kwa muda mrefu.Sasa tunavyojua tamaa za hapa mujini na njemba ilivyo na faranga na ukame/usongo alokuwanao sijui kama hiki kizazi cha Carolight kitapona.

mbona taarifa imekaa kimajungu zaidi?
Upro we acha tu ... huyu baba ni noma aliua hadi mwanaye wa kumzaa kwa mambo hayo ya mahusiano jamani hali inatisha mwanaye alikuwa ni mfanyakazi wa BOT ofisi za masaki alikuwa anaitwa nancy lolo mungu amsamehe maana she was youg and beautful lady ...
imekaa sawa lakini iko kimajungu!!!iweke vizuri kama haijakaa sawa
ndio maana nasema hizi taarifa ni za vijiwe vya kahawa!!hivi tuna uhakika kiasi gani kuwa huyu bwana anasambaza maradhi, kuna yeyote anayeweza kuthibitishia hili wajameni??
mbona taarifa imekaa kimajungu zaidi?
Iam just getting this!sio majungu. Liyumba ametoka jana.
Je unauhakika na unaweza kututhibitishia wana JF kuhusu huo usambazaji wa umeme au umepost tu na wewe uonekane umeanzisha mjadala?
Hatuhitaji kujadili mambo yakusadikika we need facts
Hicho kizazi kinapenda sana mteremkoWakuu yule jamaa anayetuhumiwa kusambaza umeme kwa kasi ambayo hata Ngeleja/Tanesco hawawezi kuifikia leo kaachiwa na yuko huru baada ya kukaa jela kwa muda mrefu.Sasa tunavyojua tamaa za hapa mujini na njemba ilivyo na faranga na ukame/usongo alokuwanao sijui kama hiki kizazi cha Carolight kitapona.
sio majungu. Liyumba ametoka jana.