Liyumba karudi uraiani na ukame wa jela,tutarajie nini ?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Wakuu yule jamaa anayetuhumiwa kusambaza umeme kwa kasi ambayo hata Ngeleja/Tanesco hawawezi kuifikia leo kaachiwa na yuko huru baada ya kukaa jela kwa muda mrefu.Sasa tunavyojua tamaa za hapa mujini na njemba ilivyo na faranga na ukame/usongo alokuwanao sijui kama hiki kizazi cha Carolight kitapona.
 
Upro we acha tu ... huyu baba ni noma aliua hadi mwanaye wa kumzaa kwa mambo hayo ya mahusiano jamani hali inatisha mwanaye alikuwa ni mfanyakazi wa BOT ofisi za masaki alikuwa anaitwa nancy lolo mungu amsamehe maana she was youg and beautful lady ...
 
Tutarajie kuwa atamrudia Mungu na tutaona akiingia kwenye makanisa ya kilokole nma kuyasalimisha maisha yake kwa Bwana Yesu
 
Wakuu yule jamaa anayetuhumiwa kusambaza umeme kwa kasi ambayo hata Ngeleja/Tanesco hawawezi kuifikia leo kaachiwa na yuko huru baada ya kukaa jela kwa muda mrefu.Sasa tunavyojua tamaa za hapa mujini na njemba ilivyo na faranga na ukame/usongo alokuwanao sijui kama hiki kizazi cha Carolight kitapona.

ataanzia IFM, ataenda UDSM, atarudi Mwl. Nyerer memo, ataenda na Tumaini ya kinondoni. Sijui kama atakuwa na jeuri ya kuhonga magari yenye rangi nyekundu safari hii
 
Upro we acha tu ... huyu baba ni noma aliua hadi mwanaye wa kumzaa kwa mambo hayo ya mahusiano jamani hali inatisha mwanaye alikuwa ni mfanyakazi wa BOT ofisi za masaki alikuwa anaitwa nancy lolo mungu amsamehe maana she was youg and beautful lady ...

taarifa nzito hii. ilikuwaje mkuu?
 
Naisi kasi yake itakua kubwa sana kwa muda wa miezi sita ya kwanza,kwani jamaa ana ukame usipime then atapunguza kwani ule mkwanja dizain kama umekata anao kimtindo,so miez hiyo ya mwanzo atawadunga sana..
 
Je unauhakika na unaweza kututhibitishia wana JF kuhusu huo usambazaji wa umeme au umepost tu na wewe uonekane umeanzisha mjadala?
Hatuhitaji kujadili mambo yakusadikika we need facts

oooh! kumbe hujui mkuu? jamaa yuko spidi ile mbaya, na wala kwake hakuna mgao, mpeleke mkeo au binti yako akamsabahi uone kama hatatoka na cable za umeme.
 
Karibu mkuu uraiani. Walikufunga kwa kukuonea lakini kwa majaliwa yake Mungu umemaliza kifungo salama. karibu sana. Usijali majungu na kashfa wanazotoa watu. Mungu ndo atawaadhibu watu hao.
 
Wakuu yule jamaa anayetuhumiwa kusambaza umeme kwa kasi ambayo hata Ngeleja/Tanesco hawawezi kuifikia leo kaachiwa na yuko huru baada ya kukaa jela kwa muda mrefu.Sasa tunavyojua tamaa za hapa mujini na njemba ilivyo na faranga na ukame/usongo alokuwanao sijui kama hiki kizazi cha Carolight kitapona.
Hicho kizazi kinapenda sana mteremko
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom