Liwake, lisiwake kura yangu iko UKAWA tu

Liwake, lisiwake kura yangu iko UKAWA tu

Sagacity

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
252
Reaction score
150
CCM hata angesimama nani,na kwa rekodi gani nzuri ama matendo gani mazuri siwezi kumpa kura yangu.
Kwa maneno mengine watu wanasema,kuwa na aleji(alergy). Nina alergy na CCM hata kama angesimama nani jamani.
Siwezi kuipigia kura CCM kuanzia diwani,mbunge hadi Rais,siwezi. Mtanisamehe mlio badili misimamo yenu kwa sababu Magufuli kapitishwa na CCM kupeperusha bendera ya urais. Kwangu mwiko. Nataka mabadiliko.
 
Safi sana kamanda.ni kweli kabisa CCM YOTE sijaona.kwa sababu ni mfumo wa chama chao ni wa kulindana.kwahiyo km kuna ufisadi hakuna ambaye anaweza mkoromea mwenzake.TUPO PAMOJA NA UKAWA.
 
Magufuli hana ubavu wa kupambana na ufisadi,wizi na rushwa maana chama kizima kimesimama katika misingi ya wizi,uongo,unafiki,rushwa na ufisadi. Kupigia kura CCM ni kujiondoa ufahamu wangu kabisa. Bora nisipige kuliko kuwapa ulaji ccm
Safi sana kamanda.ni kweli kabisa CCM YOTE sijaona.kwa sababu ni mfumo wa chama chao ni wa kulindana.kwahiyo km kuna ufisadi hakuna ambaye anaweza mkoromea mwenzake.TUPO PAMOJA NA UKAWA.
 
CCM hata angesimama Mtume Mohamed au Nabii Issa (Yesu) ningewatukana na kuwakana hadharani, CCM ni mfumo corrupt
 
Kikwete aliingia na mbwembwe kibao,oooh maisha bora wa kila mtanzania,mara ooh Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya(ANGUKO jipya kwa kifupi) leo hii yako wapi? Umaskini unazidi kutamalaki,ufisadi ndio habari ya mjini,rushwa ndio kila kitu,thamani ya shilingi inashuka kila kukicha,ukosefu wa ajira ndio umefikia hatua ya bomu,migomo ndio usiseme,deni la taifa limeongezeka mara mbili nk. Kwa nini nimwamini Pombe? Kikwete hadi walimuita chaguo la Mungu,kumbe ni ulaghai wa hali ya juu. Siwezi ichagua ccm mie.
Ata yangu Mkuu ukawa tu.." Hatudanganyiki kizembe....
 
CCM kwangu ni kama ebola,sitaki kabisa kusikia habari za CCM
 
Kikwete aliingia na mbwembwe kibao,oooh maisha bora wa kila mtanzania,mara ooh Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya(ANGUKO jipya kwa kifupi) leo hii yako wapi? Umaskini unazidi kutamalaki,ufisadi ndio habari ya mjini,rushwa ndio kila kitu,thamani ya shilingi inashuka kila kukicha,ukosefu wa ajira ndio umefikia hatua ya bomu,migomo ndio usiseme,deni la taifa limeongezeka mara mbili nk. Kwa nini nimwamini Pombe? Kikwete hadi walimuita chaguo la Mungu,kumbe ni ulaghai wa hali ya juu. Siwezi ichagua ccm mie.

Ssm kwenye matope ya ufisadi walimo nasa hawawezi kujinasua mle..!
 
Sisiemu kujinasua kwenye ufisadi ni sawa na semi trela liliobeba contena la sment af likazama kwenye tope
 
Makamanda pamoja sana.mfumo wa kifisadi huwezi kutoa matunda mema.ukawa moja
 
Nami nasema hivi,bora nikashindwe huko huko UKAWA nafsi yangu nitakuwa nimeitendea haki kuliko kuipigia kura CCM maana nikama nimemkubali shetani na fahari zake zote. Sipo tayari kwa hilo.
Ccm hata awe nani mambo yale yale..bora nichague jiwe kuliko ccm
 
Tatizo la CCM ni mfumo ww kifisadi ulioota mizizi. Hata aje nani hawezi kupambana nao. Hivi kweli Magufuli ana guts za kuanza kufuatilia issue ya Escrow nk,, amewekwa pale alinde maslahi yao and not otherwise.

Kama taifa hili linataka kutoka hapa na kupiga hatua kimaendeleo kama majirani zetu, ni lazima kuuondoa mfumo mzima wa kufisadi na kulindana ambao umetamalaki ndani ya CCM.
 
Kuipigia kura sisiemu ni sawa na kuhesabu meno ya Mamba, wakati ana njaa.
 
Wote wameoza! Sina hamu na ccm,hta kama angekuwa mzee wangu kura yangu asingepata
Tatizo la CCM ni mfumo ww kifisadi ulioota mizizi. Hata aje nani hawezi kupambana nao. Hivi kweli Magufuli ana guts za kuanza kufuatilia issue ya Escrow nk,, amewekwa pale alinde maslahi yao and not otherwise.

Kama taifa hili linataka kutoka hapa na kupiga hatua kimaendeleo kama majirani zetu, ni lazima kuuondoa mfumo mzima wa kufisadi na kulindana ambao umetamalaki ndani ya CCM.
 
Kama kuna mtu anachukia CCM ni mimi leo kutwa nzima nimeweka Chanel za , Mungu bariki hata wanaichukia kama nini.
 
Back
Top Bottom