Liwake, lisiwake kura yangu iko UKAWA tu

Liwake, lisiwake kura yangu iko UKAWA tu

CCM hata angesimama nani,na kwa rekodi gani nzuri ama matendo gani mazuri siwezi kumpa kura yangu.
Kwa maneno mengine watu wanasema,kuwa na aleji(alergy). Nina alergy na CCM hata kama angesimama nani jamani.
Siwezi kuipigia kura CCM kuanzia diwani,mbunge hadi Rais,siwezi. Mtanisamehe mlio badili misimamo yenu kwa sababu Magufuli kapitishwa na CCM kupeperusha bendera ya urais. Kwangu mwiko. Nataka mabadiliko.
Mabadiliko uyapate kwa Mbowe anayekipangishia chama chenu ofisi nyumbani kwake huku akibugia ruzuku yote. Wewe hakika ni mwehu au mkewe Mbowe
 
Kama mi ni mwehu sidhani kama ningepata hata ufahamu mdogo tu wa kukumbuka password ya akaunti yangu. Wewe sio mpinga shetani bali unamkubali shetani na fahari zake zote. Polee sana gambaz,wewe ulikuwa team membe ama Lowasa?
Mabadiliko uyapate kwa Mbowe anayekipangishia chama chenu ofisi nyumbani kwake huku akibugia ruzuku yote. Wewe hakika ni mwehu au mkewe Mbowe
 
Upi,we need supporting facts sio kukurupuka tu. Ukiwa mjinga utaendelea kuwa mjinga tu,unapata wapi ujasiri wa kuhalalisha kosa kisa CHADEMA wamefanya kosa la aina hiyo hiyo? Kwa nini unatumia CHADEMA kama bench ya kipimo katika ufisadi wenu?
Hakika nyani haoni kundule. Ufisadi walioufanya chadema kwa mwaka mmoja tu, CCM ni miaka 30
 
wewe mpumbavu ukome kabisa kutmia jina la YESU kama jina la babu yako. in the name of JESUS wewe pepo ukome. nakuteketeza kwa moto wa Roho Mtakatifu.
 
Back
Top Bottom