kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,785
Mbunge wa mtera (CCM) Lusinde amewaponda wabunge wa CUF kwa kuzungumzia mambo ya Zanzibar pekee bila kujua wao ni wabunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.amesema wabunge wa Cuf wameingizwa mkenge na Cdm,na hivyo ndoa ya watu wawili ikishaingiliwa na mtu wa tatu lazima ivunjwe.kifupi dk zake alizopewa kuchangia kazungumza mbovu mbovu hadi mwisho.