Living Stone Lusinde: Ndoa ya CCM na CUF imeingiliwa na CHADEMA

kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
8,132
5,785
Mbunge wa mtera (CCM) Lusinde amewaponda wabunge wa CUF kwa kuzungumzia mambo ya Zanzibar pekee bila kujua wao ni wabunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.amesema wabunge wa Cuf wameingizwa mkenge na Cdm,na hivyo ndoa ya watu wawili ikishaingiliwa na mtu wa tatu lazima ivunjwe.kifupi dk zake alizopewa kuchangia kazungumza mbovu mbovu hadi mwisho.
 
CHADEMA wanaona wivu.
 
Huyu si ndio alimwangisha Malecela kwenye Ubunge Mtera? Sasa kama CCM walimwona ni bora jee huyu waliyemuacha atakuwa mzigo kiasi gani?
 
Spika Annie Makinda akemee ubaguzi unaoota mizizi bungeni. Wabunge wa CCM toka Zanzibar wanawabagua waziwazi watu wa Tanganyika, na inashangaza sana sana kuona wabunge wanashangalia huku Spika akicheka.

Kauli kwamba wabunge wa Tanganyika ndani ya Bunge la Muungano hawana haki ya kuongelea mambo yanayohusu Zanzibar ni muendelezo wa ubaguzi wanafanyiwa watu wa Tanganyika.

Tunajua watu wa Tanganyika hawaruhusiwi hata kumiliki ardhi Zanzibar, biashara zao zinachomwa moto, na sasa wabunge wa Zanzibar wanawaziba midomo wabunge wa Tanganyika.

Huu ubaguzi ukomeshwe haraka.
 
Afadhali ya Lusinde kuliko mbowe na lema ambao hupayuka bila mpango wowote.

Nyerere alikuwa na akili sana!, alisema umaskini mbaya kuliko wote duniani ni umaskini wa mawazo... Maana anaweza akawa na almas halafu akaja tapeli na kichupa na kumwambia hiyo si almas, almas ni hii,,,, kwa ujinga wake anampa tampeli ile almas yake, yeye anaondoka na kichupa akishangilia kama zuzuu!,,,,,. Sasa MBOWE na lusinde wapi na wapi....ndo nyie akina chama kipya Nyerere aliowaita wajinga na si wapumbavu...
 
Ni bora ndoa kuliko znz watu wangeuana kwa uchaguzi Arusha watu walikufa Sababu ya umeya Leo wamekubali Cdm kuwa naibu meya
 
Spika Annie Makinda akemee ubaguzi unaoota mizizi bungeni. Wabunge wa CCM toka Zanzibar wanawabagua waziwazi watu wa Tanganyika, na inashangaza sana sana kuona wabunge wanashangalia huku Spika akicheka.

Kauli kwamba wabunge wa Tanganyika ndani ya Bunge la Muungano hawana haki ya kuongelea mambo yanayohusu Zanzibar ni muendelezo wa ubaguzi wanafanyiwa watu wa Tanganyika.

Tunajua watu wa Tanganyika hawaruhusiwi hata kumiliki ardhi Zanzibar, biashara zao zinachomwa moto, na sasa wabunge wa Zanzibar wanawaziba midomo wabunge wa Tanganyika.

Huu ubaguzi ukomeshwe haraka.
Muungano wa KINAFIKI
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom