liverpool

Ni majogoo lakini kwa kweli hayawiki naona historia ndiyo inawabeba.
 
mbona tuko pouwa tu, jana haikuwa siku nzuri tu, tumecheza mpira mzuri bt tumefungwa iantokea sana tu hy. yaani unavyoongea as if kuwa tumeshuka daraja au ndo timu ya kwanza kufungwa
 
Hapo ni sisi washabiki kuwa wapole tu kwani ukitaka kujenga lazima ubomowe!

Twende mbele kidogo hautaamini kama hao vijana ndio hao!
 
Dah, swali ni gumu ila rahisi. Ngoja tumsubirie Shafii azungumze kuhusu hili coz nae ni wa hukohuko Liverpool.
 
We acha mie wamenifanya tokea ligi kuanza nimeangalia mechi moja tu, yaani nakosa msisimko kabisa wa ndugu zangu hawa
 
Watu wataishanga liverpool, ki ukweli wanajenga timu, na msimu ndio wanaanza mafanikio yan watakuwepo top 4,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom