MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,426
Becker huyu
When idiots get access to connected keyboardBecker huyu
View attachment 1449469
Hivi nikiunganisha magodoro, naweza pata Bed kama hilo.
Duuh!! Mtani kumbe imeeditiwa lol.Mtani ubingwa unacheleweshwa tu, Liverpool atachukua.
Hiyo picha ni fake.
Duuh!! Mtani kumbe imeeditiwa lol.
Ooh. Sawa Mtani.Hiyo picha ni ya muda sana, mara ya kwanza niliiona kwenye page ya Bewarmers (Instagram).
Ni jokes tu wanafanya.
Liverpool na Simba hatuzuiliki kuchukua ubingwa, tunacheleweshwa tu.
Ooh. Sawa Mtani.
Nimeshituka kuitaja na Simba Mtani. 😀😀😀Mbona umeshtuka mtani?
Nimeshituka kuitaja na Simba Mtani. 😀😀😀
Mkuu Inawezakana mtoa post ni mmoja wapo kati ya hao madada walio hapo.
Mambo ya don bilizerian..huyu jamaa ni proffesional poker ni balaa na nusu! Ni play boy wa hatari...kamcheki instagaram uone bata zake!Becker huyu
View attachment 1449469
Weeeee.Mkuu Inawezakana mtoa post ni mmoja wapo kati ya hao madada walio hapo.
Becker au ni mcheza pocker toka USA?Becker huyu
View attachment 1449469