Liverpool na Yanga labda waibe kombe msimu huu.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,280
Reaction score
7,485
Hakika kwa namna hali ilivyo hizi timu mbili ninazozichukia kupindukia zikihitaji ubingwa wowote labda tu WAIBE maana wana gundu na nuksi mbaya ya mashabiki wao kuongea sana.

Mimi shabiki wa Manchester na mwanachama wa Simba nasema tena hizi timu mbili liverpool na yanga labda waibe kombe lakini kihalali hawatapata kitu.
 
mkuu yanga hata aibe atakamatwa na atachomwa moto liverpool chochote kinaweza tokea.
 
Hakika kwa namna hali ilivyo hizi timu mbili ninazozichukia kupindukia zikihitaji ubingwa wowote labda tu WAIBE maana wana gundu na nuksi mbaya ya mashabiki wao kuongea sana.

Mimi shabiki wa Manchester na mwanachama wa Simba nasema tena hizi timu mbili liverpool na yanga labda waibe kombe lakini kihalali hawatapata kitu.
Sema haki ya Mungu!
 
Bado una mawazo ya kuwaibia Liverpool kombe?
 
Back
Top Bottom