Liverpool msimu huu hachukui kombe lolote

Liverpool msimu huu hachukui kombe lolote

Barcelona anaenda kufa camp nou akija anfild hapindui meza.. city anadraw na spurs na leicester liva atashinda mech 3 atadraw ya mwsho then anachukua epl.
Aisee uo mpira unavyouchezea vidoleni kama unajua vile hata kutuliza ngozi
 
Habari wakuu

Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa

Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu

Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa

Liverpool poleni sana
Hii ndo inaitwa chunusi, chunusi, chunusi. Haya nenda kabeti sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kombe la Huruma
Sio shabiki wa Liverpool lakini msimu huu natamani wachukue ubingwa! Tangu naanza shule ya msingi mpaka sasa sijawahi sikia wakichukua ubingwa wa EPL! No acheni na wao wachukue msimu huu!
 
Huu uzii ipo siku yatatimia tu

Ni rahisi sana liverpool kuchukua ucl kuliko kuchukua epl
 
Barcelona anaenda kufa camp nou akija anfild hapindui meza.. city anadraw na spurs na leicester liva atashinda mech 3 atadraw ya mwsho then anachukua epl.
Uwe unajitahidi kusali mkuu..!
Labda hiyo mechi ya mwisho ya Liverpool itakuwa na matokeo uliyotabiri..!
 
Hahaha amka kijana kumekucha huko
Barcelona anaenda kufa camp nou akija anfild hapindui meza.. city anadraw na spurs na leicester liva atashinda mech 3 atadraw ya mwsho then anachukua epl.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom