Maumizi ni makali kabisa nimeyapata, sijui lini ntabeba EPL au UEFA Mwakan sijui. Sijui liver ifanyaje?
Huenda man city wakapata division 0.
Yule Bwana mdogo amelia uwanjani kama mtoto mdogo, manina!.Liverpool haina tofauti na Yanga. Unaongoza tatu bila, katimu kanachomoa kama kametumwa.
Inauma sana keimamae.
aiseee, yaani acha tu, inauma sana, tuli-invest sana, nashangaa goli 3 zinarudi kiubwete
kisa na mkasa? jipe moyo ndoo inatuhuisu CITY!Maskini ndo mpira ila kwa wengine ndo furaha yao bado man city nae anafungwa mechi ya mwisho.
Liverpool haina tofauti na Yanga. Unaongoza tatu bila, katimu kanachomoa kama kametumwa.
Inauma sana keimamae.
Kwani na nyie ni kama Chelsick? Mnajitangazia U-champion before final whistle? Ndo matokeo yake mtalia na kusaga meno
aisee huyu kocha mim simuelewi kabisa .nikweli katupa mafanikio ila kiukweli bado tunatatizo sana kwenye tim yetu maana kikosi chetu ni chakawaida sana.
hata hivyo wachezaji wamejituma sana mpaka kufikia hapa tulipo haiwezekani tukautema ubingwa zikiwa zimebakia game 3 tuu media karibia zote ziliipa credit liver yakuubeba ubingwa
lakini tunakuja kufanya upuuzi dk za mwisho tulikuwa tumebakiwa na game 3 tuu tutawazwe kuwa mabingwa lakini kilichotokea nifedheha sana aisee.
marekebisho makubwa sana inabidi yafanyike kikosi inabidi kisukwe upya aisee hasa kwa upande wamabeki mechi nyingi tumekuwa tunashinda vizuri kwakipindi cha kwanza inapofika kipindi cha pili tunaanza kufungwa kijinga sana.nakugeuka kuwa watumwa