Liverpool kufanya maajabu ya mwaka

Liverpool kufanya maajabu ya mwaka

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,616
Reaction score
2,368
Wadau iwapo Liverpool watafungwa leo, basi itakuwa ni klabu ya kwanza katika historia ya EPL kuwa nje ya top 4 kabla ya new year, wakati krismas ilikua top of the table. Ikumbukwe pia klabu ambayo inaoongoza ligi wakati wa krismasi basi hua ndio bingwa, na klabu pekee ambayo ilikuwa top of the table halafu ikashindwa kuchukua kombe ilikua ni Liverpool mwaka 2009. Jee wataweza mwaka huu.?
 
Acha kuongea ki statistics wakati Arsenal ndo bingwavmwaka huu. Hiyo ni history tu. mambo uwanjani
 
Chelsea 2-1 Liverpool (1600 GMT)
Skrtel for Liverpool, then Hazard & Eto'o
 
hebu isomeni tena hiyo thread naona hamjaelewa kitu,
 
Leo nimeweka mtoto wa kitanga lehani chelsea akishinda tu mke wangu analudi ndani akifungwa jamaa anakesha nae mpaka mwakani ndio amrudishe
 
Wadau iwapo Liverpool watafungwa leo, basi itakuwa ni klabu ya kwanza katika historia ya EPL kuwa nje ya top 4 kabla ya new year, wakati krismas ilikua top of the table. Ikumbukwe pia klabu ambayo inaoongoza ligi wakati wa krismasi basi hua ndio bingwa, na klabu pekee ambayo ilikuwa top of the table halafu ikashindwa kuchukua kombe ilikua ni Liverpool mwaka 2009

peleka sport fasta mkuu..
 
subiri niwaeleweshe tena, liverpoo ilikuwa inaongoza ligi juzi tu siku ya krismas, tarehe 25, sasa leo ikifungwa inashuka hadi nafasi ya tano yaani ndani ya siku 4 kutoka kuongoza ligi hadi nafasi ya tano, hii haijawahi kutokea.
2. Timu zote ambazo zilikua top of the table siku ya krismas zilichukua ubingwa, ispokua Liverpool tu. Msimu wa mwaka 2009 Liverpool ilikua top of the table wakati wa krismas lakini ikashindwa kuchukua ubingwa, ni klabu pekee kushindwa kuchukua ubingwa wakati krismas ilikua inaongoza ligi. such a LOOSER
 
malimbuken bwana!,hamjazoea kukaa kilelen ktk msimamo maneno mengi,njie ongozen kwa baiskeli wa miti kabla wenye nafasi yao( man u) kukalia kiti.
 
Final score from stamford bridge is Chelsea 2 Liverpool 1
Maajabu yametimia, timu juzi tu ilikua inaongoza ligi, leo iko nafasi ya tano, poleni Liver
 
haya wewe jamaa wa ma historia na marecord. Livapool wamechapwa 2-1. Na maajab yako yametokea
 
Hivi Liverpoor ni Timu ya kuzungumziwa? wenye timu wote wana mioyo ya plastic... Timu AU ugonjwa wa Moyo!
 
Wameshaanza kurudi kwenye nafasi zao. Ya nane, tisa mpaka kumi. Lol!
 
Wadau iwapo Liverpool watafungwa leo, basi itakuwa ni klabu ya kwanza katika historia ya EPL kuwa nje ya top 4 kabla ya new year, wakati krismas ilikua top of the table. Ikumbukwe pia klabu ambayo inaoongoza ligi wakati wa krismasi basi hua ndio bingwa, na klabu pekee ambayo ilikuwa top of the table halafu ikashindwa kuchukua kombe ilikua ni Liverpool mwaka 2009
Hakika maneno yako!
 
Historia sithani kama inamaana kwenye mpira
 
Back
Top Bottom