Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Ooh hapa tweeter hapa yondani, kiko wapi sasa?
Laana ya dhulumati hiyo na mwaka huu mtaisoma
Bhaaaaaaaaaaaas
 
Masikini Ally Mustapha katoka timu ya ushindi kisa benchi kaenda huko timu inapigwa na benchi linaendelea, huzuni mara mbili.
 
YANGA mwaka huu itachangia kushusha daraja waamuzi wengi. Kwani nguvu yao kubwa ni marefa. Mechi ya jana walizidiwa ufundi na stamina uwanjani matokeo yake ni kutaka chenji pale pale uwanjani baada ya mechi kwa kumlalamikia refa ambaye alishindwa kuwabeba kwani mazingira ya mechi yalikuwa magumu kwani.

Kuna wakati msimamizi wa mechi alikuwa akihaha kuikoa yanga bila mafanikio
 
wamezidi kucheza mpira magazetini,acha waonyeshwe kuwa mpira c maneno ni vitendo tu,watawafungia sana marefa mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…