Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Ningekuwa na uwezo hawa Mambwiga(wachezaji wa Yanga) ningewakata mishahara wote
 
Naweza kuamini tumerogwa,siyo bure
Sio kurogwa mkuu, tatizo wachezaji wenu hamuwapi posho za kununua sukari, wakisikia timu ya kiwanda cha sukari wanajua hapa hatukosi posho ya viroba vya sukari. Hivi bado dakika ngapi tusherehekea ushindi?
 

.......................... Hiyo ndio maana halisi ya Tisha TOTO, endelea kuamini hivyo hivyo, tena hujakosea, usiku unaingia, asubuhi, mchana ...... wee endelea kuamini hivyo .............hata kifaranga cha kuku kiliambiwa kitanyonya kesho ,,,,,,,.......
 

Mtawapanga sana mwaka huu, ngoma uwanjani patupu
 
MPIRA BADO HAUJAISHA!?? saa kumi na mbili na nusu sasa kwa saa za hapa mabwepand
 

champions league mtaendelea kuisikilizia kama liverpool.
 
Labda walikuwa wanasheherekea ile Hotel aliyojenga mchezaji mwenzao wakarelax wakajisahau kuconcentrate na mechi.
 
Na mpiraaa umekwishaaaa,yanga anakitu,itakua wachezaji wali lala mzungu wa 4 tena.
 
Refa angekuwa fair alipaswa kuongeza hata dk 10
Full time Yanga 0 - Kagera 1
 
hhahahahhahahahahhahahahahahhahahahahhahhahahahahhahhhahahhaha kagerraaaaaa weraaaaaaaaaa
 
Laana ya pesa za Twite hiyo, yanga itawatafuna mpaka baaaaaaaaaaasi vinginevyo mulipe deni munalodaiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…