LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631
Wana michezo wenzangu hasa kwa wale tunayoipenda Simba,
Naomba kwa ambao wako Zanzibar watupe live updates hapa...

Hili ni ombi maalumu kwani sijaona uzi wowote juu ya hii mechi.
 
Leteni updates, sitashangaa kusikia red card imetolewa kwa KCC, refa achezeshe kwa haki aisee, tumechoshwa na kelele za hawa jamaa.
 
Simba 0 KCC 1, ametoka shamte ally ameingia willium lucian sababu majeruhi
 
KCC 1-0 Simba dk ya 25
Makoye Matale bila shaka meno yote nje: tutasawazisha very soon.
 
Redondo ndani - Awadhi Juma nje hizo zote ni harakati za kusawazisha na hatimaye kunyakua Kombe.
 
Dakika ya 30
Simba 0 KCC 1

Kama hauna King'amuzi cha Azam Tv Fungua Uhuru Fm 95.7 fm-Dar/Pwani/
Zanzibar 88.2 fm-Dodoma/Singida 99.7
fm-Arusha 92.9 fm-Mwanza 103 fm-Mbeya/Mbinga
 
Simba nawakubali sana....Tambwe fanya kazi goli lirudi...
 
Back
Top Bottom