Live updates: Uzinduzi wa matawi ya CBE na DIT, hapa Don Bosko, Upanga...

Anasema DAR inahitaji transformation,
anapöda NAPE na CCM imepagawa baada ya DAR kutekwa na CDM..
 
Anasema anataka kufanya mkutano wa vyuo vyote vya elimu ya juu hapa DAR, amekadiria uwe na watu 5000, ili kuendelea leta ukombozi wa taifa hili..
 
Anasema hakuna mbinu mbadala ya kumwajibisha JK zaidi ya nguvu ya umma.. Vijana waendelee unganisha nguvu kwa kutumia social networks..
 
Anasema wasichana 10 DAR, wawili tu wanajua kinachoendelea kwenye nchi yao..
Arusha kati ya wanawake 10, na 6 wanajua kinachoendelea katika nchi yao..
 
Anaponda usalama wa taifa, ni wazembe wasiogopwe.. Wanashindwa kuzuia hata twiga wanaibiwa..
Vijana wasiwe waoga kuja katika maandamano..
 
Back
Top Bottom