Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

Makamanda tumegundua kuna gari ya ccm Land Cruiser nyeupe mbili, moja ina ngao na nyingine haina ngao ila zimewekwa Plate number moja, gari zote zinatumia namba T 377 BJE.
Gari hizi 2 zimebeba green guards wa kuleta fujo wanazungushwa kila kata.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums


Piga picha hao nyang'au hawkawii kukataa
 
Nimedokezwa kuwa Mwigulu kajidamka mapeeema, huyooo Dar hata Singida haendi. Wakuu tuko pamoja na vile leo Weekend tukitoka ni kwenda kujipongeza

ulijuaje kamanda?!kwa mara nyingine tanzania inakwenda kuandika historia mpya katika mageuzi ya mfumo wa kisiasa,vox populi vox dei,viva chadema
 
RITZ Mbona umekuwa mpole hivo leo, kuna maelekezo nini?.Kwani nyie hamjui kuwa kuna maisha baada ya siasa?Sasa kwa nini mmekuwa mkisababisha fujo zinazogharimu maisha ya watu. Shida yangu sio kutakiwa heri tatizo langu hiyo heri ina heri?
 
sina hakika kama wote mtarudi hai

Acha upumbavu,we una hakika gani kama hutagongwa na gari leo.......vitu vingine muwe munatafakari na sio kujiandikia kisa tu unakalaptop kako.....hata kama ni ushabiki ila kwa sehemu nyingine ubinadamu kwanza.
 
wakuu itolewe ratiba kabisa ya kusherekea ushindi,pipooz

.....tutaanza jioni.. kurirusha picnic na milestone baampyaa sakina....

....anza maandalizi ya kupamba gari lako....boda boda...baiskeli nk ....mpera mpera nk....

....Mkuu niko uwanja wa mapambano nalinda kura......
 
Wakuu,

Tutawaletea updates kuhusu chaguzi zitakazoanza katika kata za Elerai, Kaloleni, Kimandolu na Themi.
Bila kuweka ushabiki wa vyama, Jf Arusha tutawaletea kila kitakachokuwa kikijiri kwenye maeneo yote ya uchaguzi.

Muda huu nimepita maeneo ya Kaloleni, watu wameanza kupanga foleni kwenye ofisi ya mtendaji ya kata kwa ajili ya kupiga kura, naelekea maeneo ya Kimandolu ambapo ndiyo kuna wapiga kura wengi kulinganisha na kata zote za jiji la Arusha, ikifuatiwa na Elerai. Nitawajuza kila kinachojiri.

Kwa kuwaweka sawa wanaJf, tumeona Jf member Filipo atarusha mawe Kaloleni, Crashwise Elerai, Daudi Mchambuzi Themi, Arushaone, Mungi, Freedom Of Flag na Bahati1 watakuwa Kimandolu. malcom2, GanjaPlanter na olevaroya wakuwepo pia kutupia updates.

Mods tafadhali msiunganishe uzi huu na ule wa Taswira maana una mwelekeo wa siasa ya upande mmoja

wote magwanda, Sioni Kheri yeyote mtakayoirusha.
 
nimempleka polisi wakamwamrisha awapigie wahusika waje wazichukue..akawapigia wakaja kuzichukua...

Kwa nn mtu kama huyu asichukulie hatua za kinidhamu na kufungwa afungwe kabisa afai huyu aliyekutwa na kadi za wenzake
 
Siamini kama CCM itashinda bila kucheza Rafu na wanajiamini sana hawa watu sijajua kilichoko behind

Mwenyewe ndo inanipa shida, maana hata RITZ kawa mpole na kutoa ushirikiano as if kuna maelekezo maalum toka juu. Hivi kwa nini Rangi ya karatasi imebadilishwa jamani? naendelea kujiuliza mie
 
Back
Top Bottom