Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

Yap! Hakika hakuna lisilowezekana mbele ya huyu aliye juu!


Mkuu kazi yetu ilikuwa nzuri sana.............. kwakweli hata kilo zimeongezeka kwa furaha isiyo kifani.
Wapiga kura wa Arusha wameudhihirishia ulimwengu kuwa CCM haikubaliki Arusha, na haitashinda tena Arusha hata aje Obama awasaidie kupiga kampeni.[/QUOTE

KUDOS MAKAMANDA WOTEE NA POLENI KWA KAZI NGUMU, HISTORIA YA NCHII HIKI ITAKAPOANDIKWA UPYA 2015 MAJINA YENU YATAKUWA KURASA ZA MBELE KABISA!!
 
Makamanda wote wa Arusha Arushaone, Mungi, Filipo, Daudi Mchambuzi, Earthmover, Jackbauer, LiverpoolFC, Mzee wa Shamba, PakaJimmy, Preta, Blaki Womani, Crashwise pamoja na makamanda wengine wote ambao sijawataja, naomba mpokee salamu zenu za pongezi kutoka kwa mpiganaji mwenzetu Matola ambaye majukumu yamemtinga na yuko remote area ambako ameshindwa kupata access ya JF.

Kwa namna ya pekee kabisa anawapongeza na kuwashukuru kwa kuiongoza Arusha kufanya chaguo sahihi na bora kabisa kwa mustakabali wa ustawi wa demokrasia hapa nchini.
Nimejitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu angalau leo nijumuike hapa katika siku kama hii ya heshima katika Demokrasia ya Tanzania na ujumbe umefika mpaka yule mkurugenzi wa Habari wa CCM John Tendwa ameanza kuweweseka leo, bila kulisahau jeshi la CCM linalojulikana kwa jina bandia kama jeshi la Polisi nalo linaweweseka na kuanza kuzitafuta hasira zetu ambazo uvumilivu unaelekea kuisha.
 
75914923_620.jpg

hhahaha............ waliberali

cuf.png
attachment.php
 
CCM kwisha habari yao, shukrani kwa kamanda Mwita Maranya kwa kunipa taarifa hizi za kifo cha Magamba na kunitag hii thread.

Mkuu Mwita Maranya kwa furaha niliyonayo imebidi nitoke kule vijijini nilipokuwepo na sasa nimesogea mjini kidogo na nimekodi Hotel maalum kwa ajili ya kupumzika na kusoma thread hizi za Arusha maana nilikuwa gizani.

Sina mengi leo mimi ni msomaji tu.

Mkuu natamani hii spirit ya watu wa Arusha ikasambaa Tanzania nzima.
Hata hivyo kifo cha magamba kitatimia rasmi siku daftari la wapiga kura itakapofanyiwa marekebisho

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
mwalimu Arusha CCM wanachukua, nakumbuka tulifanya kazi sana pale Soweto hadi Mheshimiwa Mhando akachukua udiwani na kumuangusha Eng Bebwa, ila Arusha CCM wamejipanga sana labda CDM watachukua kiti kimoja

pole kwa kazi nzito, na hivi kama ni chama tawala mnahangaika nini, si tunawaona mkitekeleza ilani, mkiona mnapigwa mjipange sawa
 
mwalimu Arusha CCM wanachukua, nakumbuka tulifanya kazi sana pale Soweto hadi Mheshimiwa Mhando akachukua udiwani na kumuangusha Eng Bebwa, ila Arusha CCM wamejipanga sana labda CDM watachukua kiti kimoja
Kashaga (verified member) naomba utupe mrejesho wa jinsi "mlivyochukua" udiwani Arusha. Mtu mzima HOVYOO
 
wanakijiji wameshtuka siku hizi, wanajua ukiwapa kura kwa huo msosi inabidi usisikie njaa kwa miaka mitano hadi uchaguzi ujao, maana jamaa wakishashinda wanapotea mpaka wakati wa kampeni zijazo.

Mh Mh MH! jamaa wa kijani kibichi bwana yaani wanavitamanisha vitoto vya watu wanapakua wali afu wanawambia watakula mwishoni mwa mkutano? Kaaazi kweli kweli!!!
 
Back
Top Bottom