Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
- Thread starter
- #1,021
Wimno mgumu huu......Hisia namuonea huruma jamani
pole mwayego. kunywa maji mengi
anainjoi sana
uwiii hisia
huyu fiona si mwisho atashuza jamani, kujikakamua gani huko?
jiwimbo baya anaimba sijui kachaguliwa na nani sijui leo kama atapona
Wimno mgumu huu......Hisia namuonea huruma jamani
Hisia....
Leo probation,inamwita Hisia jamni
pole mwayego. kunywa maji mengi
Uuuw ion..