Live Updates toka Makanisani leo!!

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Ni jumapili nyingine tena ni siku ya kuabudu kwetu sie wakristo.

Hebu tupia hapa ulichofundishwa kanisani leo,au kitu chochote kilichojiri huko kanisani.
Tuifanye JF sehemu ambayo hata neno la mungu linapatikana!,
 
kuna dada pembeni yangu anataka kunitolea sadaka
 
so ndio umeona habari za kanisa zikae humu Mahusiano, mapenzi, urafiki a.k.a MMU; use your brain
 
so ndio umeona habari za kanisa zikae humu Mahusiano, mapenzi, urafiki a.k.a MMU; use your brain

Naomba uninong'oneze, kwani kwa sasa anatumia kiungo gani kufikiri?
 
Naomba uninong'oneze, kwani kwa sasa anatumia kiungo gani kufikiri?

hahaha watu8 kwani hukijui kiungo maarufu humu MMU? kinatupelekeshaga vibaya wengi
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwetu kahubiri a woman juu ya Uhusiano wako na Mungu. Kajitahidi kutusema sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…