Live updates: Tanzania vs zimbabwe

Live updates: Tanzania vs zimbabwe

chamakh

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,097
Reaction score
1,384
Haya wana JF tunalangalia mechi ya kwanza ya raundi ya awali ya kugombea kwenda AFCON 2015
 
hayaaaaaaaaaaaaaaa

dakika ya 15 samata anampasia ulimwengu naye anampasia John Boko anatupatia goli

Tanzania 1 Zimbabwe 0 dakika 16
 
Mkuu cc wengine tupo mbali tunaomba mtupe update hapa kwenye jf maana na iman hakuna tv station inayoonyesha huu mpira ama kweli tff ya sasa kiboko
 
samata kushoto ulimwengu kulia John Boko katikati na nyuma yao Ngasa kuna uhai flani unaonekana
 
Kaka mshazari usijali tupo pamoja tutajitahidi updates zote muhimu ziwafikie
 
hayaaaaaaaaaaaaaaa

dakika ya 15 samata anampasia ulimwengu naye anampasia John Boko anatupatia goli

Tanzania 1 Zimbabwe 0 dakika 16

safi sana! leo wachezaji wa maboresho hawapo, ushindi lazima!
 
Hv tz tukimfunga Zimbabwe tunapita magroup au kuna match nyingine .
 
Thanx and kip updating my brothers and sisters in football!,yesterday ARSENAL made it,plz STARS make it today!.
 
listi ya leo
1. Deogratius Munishi
2. Shomari Kapombe
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Frank Domayo
7. Mrisho Ngassa
8. Mwinyi Kazimoto
9. John Boko
10. Mbwana Samatta
11. Thomas Ulimwengu
 
Hv tz tukimfunga Zimbabwe tunapita magroup au kuna match nyingine .

Tukiitoa Zimbabwe tutacheza na mshindi kati ya Msumbiji na Sudan Kusini kisha kama tutashinda tutaingia kwenye kundi lenye timu za Zambia, Cape Verde na Niger....hapa washindi wawili wanaenda Morocco 2015 na mshindi wa tatu anaweza kupita kama atakuwa best looser
 
Wadau naombeni link ya live streaming!! Game tamu hili
 
dakika ya 29 bado Tz 1 Zim 0....TZ inapata kona inakuwa butu
 
Back
Top Bottom