Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Nipo Pazi, Ehehehehehehe. Habarui za miaka mingi kaka?

Subiri kwanza tehteh niokote Keyboard Yangu manake furaha mpaka nimeipiga screen kichwa za miaka nzuri tu Dr Kilakshari umesikia mambo ya Chapombe sio mlevi ni mchezaji mpira ametufurahisha Taifa stars Oyeeeee.
 
Asante mwana mpotevu na wengine wote mliotupa updates za mechi hii. Hongera watanzania wenzangu. Hongera taifa stars
 
FULL-TIME Tanzania 2-1 The GambiaTanzania move into second place behind Ivory Coast in Group C thanks to this win.
Group C after two matches:

  • Ivory Coast 4 pts nafasi ya Taifa stars*
  • Tanzania 3 pts inapendeza hiii sasa tufanye kweli. hii ime nafasi ya Gambia
  • Morocco 2 pts Nyie ndio muwe wa mwisho kabisa hii iwe nafasi ya Ivory cost
  • The Gambia 1 pt
 
Kazi nzuri sana, lakini nasema Kizazi cha akina Samatta na Frank Domayo ni kizazi kilichokuja kulikomboa Taifa dhidi ya kichwa cha mwendawazimu!

Hongera stars
 
Subiri kwanza tehteh niokote Keyboard Yangu manake furaha mpaka nimeipiga screen kichwa za miaka nzuri tu Dr Kilakshari umesikia mambo ya Chapombe sio mlevi ni mchezaji mpira ametufurahisha Taifa stars Oyeeeee.
Oyeeee....niimemsikia Pazi na kwa kweli ametufurahisha. Mana mie naamka kufungua jamii forum nikaona tumeshapigwa 1-0. Sikuwa na hamu ya kulog in mpaka ilipokuwa 1-1 ndio nikapata nguvu za kuingia hapa.
 
FULL-TIME Tanzania 2-1 The GambiaTanzania move into second place behind Ivory Coast in Group C thanks to this win.
Group C after two matches:

  • Ivory Coast 4 pts nafasi ya Taifa stars*
  • Tanzania 3 pts inapendeza hiii sasa tufanye kweli. hii ime nafasi ya Gambia
  • Morocco 2 pts Nyie ndio muwe wa mwisho kabisa hii iwe nafasi ya Ivory cost
  • The Gambia 1 pt

na iwe hivyo Mungu awe pamoja na Taifa stars .Wachezaji wajibiidishe zaidi katika mechi inayofuata na Morroco hapa home22-26/03/13: Ivory Coast v The Gambia;
Tanzania v Morocco
 
Back
Top Bottom