live updates.SIMBA VS RUVU SHOOTING

Mkuu wangu huwa nakuaminia sana lakini kwa post yako hii mbona unataka kuniangusha, kwani Simba wanafanya mazoezi kwenye bomba la mvua. Au unamanisha zile imani zetu za wazee wetu?

Ni mtani wako.
 
gooooool... simba 2, ruvu 0, ni tambwe again!!
Huyu jamaa inabidi wampe tu zawadi ya ufungaji bora kabla hata ya ligi kuisha, maana goli 19 na bado mechi 6 zingine zinakuja si mchezo.
 
Naamini Simba wana uwezo tatizo ninaloliona ni wachezaji kutojitambua!Ati mchezaji anamchukia kocha halafu anacheza kizembe ili kocha afukuzwe!Huku ni kutojitambua na kukosa uvumilivu!Watu hawajafika viwango vya kimataifa alafu mnaanza kuleta nyodo.Ndio sababu mnakatisha tamaa mashabiki wenu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Najua, ni kati ya washabiki wa upande wa pili ambao wako sober minded muda wote. Ila alighafirika tu siku ya mtani jembe akajikuta amepata ban.
ahhaaa..sawa mkuu, ruvu wanafanya mabadiliko..
 
watani leo wanataka kupiga wiki naona.

Wacha Ruvu wacharazwe tu, sijui leo watasingizia nini. Kwa Yanga walidai wamebahatishwa baadaye wakadai walipuliziwa madawa ya kulevya. Namsubiri Kifaru nisikie atatokaje leo.
 
Ngoja Ruvu wacharazwe tu, sijui leo watasingizia nini. Kwa Yanga walidai wamebahatishwa baadaye wakadai walipuliziwa madawa ya kulevya. Namsubiri Kifaru nisikie atatokaje leo.
leo atasema tatizo mvua....dk 43, simba 2, ruvu 0
 
Wacha Ruvu wacharazwe tu, sijui leo watasingizia nini. Kwa Yanga walidai wamebahatishwa baadaye wakadai walipuliziwa madawa ya kulevya. Namsubiri Kifaru nisikie atatokaje leo.

Sio Kifaru. Masau Bwire. Jana alisema wamechoka kuitwa wazee wa wiki! "Kila tunakopita mitaani watu wanatuita wazee wa wiki!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…