Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
simba wamepata la kufutia machozi
Vya muziki ni kunyumba hapa tuko na kazi moya tu, kuonesha ginsi ya kupiga kabumbu, mutapata kenda mu bila leoLazima mazembe bacheze kiduku leo
Hahaha 2-2Mbona mnatuchanganya Mnyama kafufuka Bado 3 ndio nini yani Ngapi Ngapi 1-1? Simba Taifa Kubwa wacheni uoga Pigeni hao wakapate Kikombe kwa Babu.