kumbe watani ni wazuri i mean simba ni wazuri sema siasa tu nayo inaharibu mpira nlitaman sana nasi siku moja tuwagonge hawa watu maana simba sasa wanajisikia.
hivi ninyi wafuasi wa mikia fc, Yanga atakapokuwa anacheza na Azam mtaishabikia timu gani ?
Yanga Football Club sio Klabu ya kufundisha soka tu... Huwa tuna kawaida ya kufundisha waamuzi jinsi ya kuchezesha soka.
kwa simba hiyo Siyo siri inajulikana kabisa huwa ananunua mechi kupitia kwa matefarii na wachezaji wa timu pinzani
Ngoja niweke vizuri swali lako. Ningependa uandike hivi: Hivi umeshiriki mashindano ya kimataifa mara ngapi, na kati ya hizo umefika walau robo fainali mara ngapi? Kwa tunaoamini katika sayansi, ufanisi hupimwa kwa kuangalia uwiano wa output over input
Yanga wenzangu wamenisikitisha sana wanajisifu tu kuoanda ndege... kumbe ndo walichofata huko tunisia kuoanda ndege? huu ujinga na ndo maana manji anatukalia kiunon kwa sabab hi hii.... turudi tu homw tupumzike maana sasa hatuna kubwa zaidi.
Fedha za kuonga refa hata Ndanda Fc wanazo..!
Hauitaji kuwa escrow ili uweze kuhonga.
Zamaulid kwani ni siri kuwa yanga tumekaliwa na manji kiunoni? ni siri? wala hili siyo siri kila mtu anajua na lipo wazi afadhari kwa wanaojitambua. we kaja katuahidi angejenga uwanja sasa akamaliza tukaenda kumpigia magoti kumsihi aendelee kama vile mataahira kumbembeleza arudi kuishikiria timu. pesa za manji zimeisaidia vipi yanga? angalia kwa mtazamo wa mbele achana na kushida kagame cup na kombe la vpl .... tuna nini sisi? akifa leo manji yanga inaendaje? inarudi kule kule na hawa wahidni ndo walivyo hawakufundishi kuvua samaki ila wanataka uwe unaenda kuwalamba miguu kuomba samaki. siku zote muendelee kumtegemea. Simba ni ma mbumbu ila YANGA ni MATAAHIRA kabisa na MAFALA. Mi navchukia ukoloni mambo leo .YANGA TUNASHINDA KWA KUHONGA MECHI .
ubingwa wa ligi kuu?ubingwa kitu gani.... we unalipwa sh ngapi? maana tunajua kuna watu mnaokula miguuni pake mabaki ya chakula chake. we huwa unapata sh ngapi? mi nlidhan toka amekuja yanga mmechukua ubingwa wa afrika au kombe la washindi? we unazungumzia hu ubingwa wa kununilika na wa kagame? are yu serious sister? ndo maana kumbe hatuendelei . sasa nmeshagundua tatizo ni nini wewe si tofaut na wale wanaosema kuwa yanga imepanda ndege simba haijapanda ndege kuwa MASHIRIKI WA MASHINDANO si ISSUE issue ni kuwa mshindani. we huoni hata platinum nao walikuwa washiriki and now wameshika nafasi za chini kabisa katika ligi yao na ni mojaya team mbovu kabisa huko kwao. mi nlidhani ungekuja na hoja za maana kumbe unakuja na viroja tu na kuzidi kuwatukanisha wanayanga walio makini. si ungenyamza kimya tu kama wenzako wanaonekana wenye busara. wewe umekuja umejiharibia kabisa demigodi... nlikuwa nakuheshimu sasa sikuheshimu tena. sijui umekula nini wewe mpaka tumbo lako limevimbiwa unakuja kutoa gesi tu humu.
utapata shida sana kuwaelimisha yanga. tena sana. ni watu ambao ni mataahira hasa linapokuja sula la their god kanjubhai... huyu ni mungu mtu wao. wanamwogopa sana kukweli. hakuna ambacho wanaweza hoji ile team kaikamata ipo mikononi mwake kama ni team yake, hapo wana yanga weng wamekaliwa kiunon kwa kweli. uwanja aliahidi hajajenga kawauzia chai huyo anakaribia kuondoka akagombee UBUNGE. katumia pesa nying sana kununua mechi yanga kimataifa chali hatua za awali tu. mnashabikia kushiriki wenzeu wanashabikia kushindana. SIMBA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Wewe ndiye yule askari wa kike ambaye Canavaro alimkumbatia na kumbusu hadharani pale uwanja wa taifa?mi yanga nitaishangilia azam mechi yetu hata cannavaro anajua
Acha kujipunguzia vipigo. Mara mbili tu?... nilitaman sana nasi siku moja tuwagonge hawa watu maana simba sasa wanajisikia raha sana wanapotembea mitaani kwa kutufunga yanga mara mbili.