shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,154
Hivi Said Hamisi ndio Ndemla?FT Simba 5- 1 Alliance
Kagere
Kagere
Konde Boy
Deo Kanda
Ndemla
Hivi Said Hamisi ndio Ndemla?FT Simba 5- 1 Alliance
Kagere
Kagere
Konde Boy
Deo Kanda
Ndemla
Ni yeyeHivi Said Hamisi ndio Ndemla?
Aisee, na imekua hivyo. Wewe jamaa ni mtabiri hatari sanaKikosi full mkoko
Twatarajia mkono (5)
Ungenitag niweke mkekaKikosi full mkoko
Twatarajia mkono (5)
MO chukua hii taarifaBaraka Mpenja anafaa kushika nafasi ya Manara ikiwa ataondoka
Hukupaswa kushabikia footballHii timu yangu tangu imbahatishe Yanga inagawa points tu,imekuwa kama wale wanawake tunaowaitaga Chupi mkononi
Kaka karabati sentensi ya Malkia hiyo!🤗Konde Boiiiiiiiiiiiiiii Goooooooooo
Bonge ya baoo This is goal is from paradise
Aliyetuletea konde boy pepo inamuhusu. Abarikiwe sana.Konde Boiiiiiiiiiiiiiii Goooooooooo
Bonge ya baoo This is goal is from paradise
Yaani!! Na mlijuaga kutupokonya tonge ndomoni.
#Yukovizuri.
Poleni. 😂😂😂😂Ninakumbuka enzi hizo mnajiita wa Kimataifa mliwahi kutunyanganya Mbuyi Twite, yule jamaa mpaka leo ananiuma.
Poleni. 😂😂😂😂
Hivyo mkalipiza?
Hivi, ni kwanini Alliance wanaitwa wanafunzi? Naomba kujuzwa tafadhali