Haha au kipindi cha nne kabisa mkuu!
I just wanted to make some people happy especially the pessimists. Polisi 0-2 Simba.
Masuke, achana nao hao jamaa. Kama wanaamini SSC ni mbovu sasa kwann wanakuwa na wasiwasi na sisi? Tukishinda mechi moja tu hofu zinaanza.
Mmmmmm roho inaniuma ila cna namna maana dar cmba
So what are you trying to insinuate? Kwa hiyo wachezaji wetu mechi zote walizokuwa wanacheza ovyo nao walihongwa?
Rn
Timu
P
W
D
L
F
A
Gd
Pts
1
Azam FC
13
7
4
2
22
12
10
25
2
YANGA
13
7
4
2
15
7
8
25
3
SIMBA SC
14
4
8
2
15
11
4
20
4
MTIBWA SUGAR
14
4
7
3
15
14
1
19
5
Coastal Union
15
4
7
4
10
9
1
19
6
JKT RUVU
14
5
4
5
14
14
19
7
RUVU SHOOTING
14
5
4
5
10
10
19
8
POLISI MORO
15
4
7
4
12
13
-1
19
9
KAGERA SUGAR
14
4
6
4
11
11
18
10
MBEYA CITY
14
4
5
5
9
9
17
11
NDANDA FC
15
4
4
7
12
18
-6
16
12
STAND UNITED
15
3
6
6
13
18
-5
15
13
MGAMBO SHOOTING
13
4
2
7
7
15
-8
14
14
T. PRISONS
13
1
8
4
10
12
-2
11
Tunakuja hata hapo tulipo sio pabaya sana, ligi ya mwaka huu ukishinda mechi moja tu na wengine kutoa draw mambo yanabadilika kabisa.Kagera Sugar jana kapiga mtu huko CCM Kambarage - Shinyanga, ana pointi 21 hivyo Simba hawezi kuwa nafasi ya 3.
Kagera hatuna haja naye tuna haja na mwali wetu mtamu, kwanza Kagera amecheza mechi moja zaidi...Kagera Sugar jana kapiga mtu huko CCM Kambarage - Shinyanga, ana pointi 21 hivyo Simba hawezi kuwa nafasi ya 3.
Kagera hatuna haja naye tuna haja na mwali wetu mtamu, kwanza Kagera amecheza mechi moja zaidi...
Unajifanya humjui Mwali wa Simba ni nani eeehh? Subiri siku inakuja utamuona haiko mbali..Watu wa simba bwana kwa kujipa yasiyo ya kwao wanaweza, sasa hapo anaepaswa kumuita mwali wake ni nani kati ya simba na yanga. Ninyi simba mtabaki kuwa kama liverpool tu na historia kombe linaenda Jangwani.
Wameshinda sana sare ya 3-3, hahaaaaaaaaaaa.....Naomben nijue msimamo jaman. Yanga kuifunga simba haiwezekan hasilan
Wameshinda sana sare ya 3-3, hahaaaaaaaaaaa.....
Wameshinda sana sare ya 3-3, hahaaaaaaaaaaa.....
TFF wajanja sana, kuweka mechi ya Yanga na Simba mwishoni mwa mzunguko wanajua watawavuruga Yanga kisaikolojia na mwisho wanaweza kufungwa mechi zote zinazofuatia maana hawa jamaa zetu baada ya kufungwa na Simba wanachanganyikiwa na hawakawii kufukuza kuanzia kocha, wasaidizi wake wote, dokta wa timu mpaka msemaji wa timu.Yanga wanajua ya kuwa popote walipo simba huzun na simanzi hutawala kwao, unabisha muulize maximo
Wewe unayefahamu lete za kwako za kweli. Siku ile mnaongoza 3-0 mpaka HT Gabachori lenu halikuzunguka uwanja kwa furaha likionyesha vidole Sita? Lilikuwa linashangilia nini kama si sare ya 3-3?Data za kwenye vijewe vya kahawa hizi........Ukute huyu ndo anategemewa pale simba kwa ufahamu wa mambo ya soka. Ama kweli mambumbumbu noma.