Live Updates: Polisi Moro vs Simba

Hapa Jamhuri stadium Ni dakika 6 bao Ni bila bila
 

Sawa kabisa mkuu Matale, Adui muombee njaa. Ikiwezekana washuke daraja kabisa.
 
Polisi Moro 0-1 Simba. Ibrahim Hajib dak 14.
 
Dakika ya 15, murshid mganda huyu jezi namba 23 anaipatia Simba goli la kwanza
 
Kuanzia mwaka huu na kuendelea, mashindano ya kimataifa yatawakilishwa na klabu mbili tu(Dar Young Afrivans & Azam fc). Ndugu zetu mbumbumbu fc mtaendelea kuchoma mahindi.
 

Maguli amesha athirika na kile kitendo alichofanyiwa na mchezaji wa Mbeya City.

Tusianze kumtupia majungu.!

Nyie mlichokosea ni kumwacha tabwe na kuchukua okwi, ili muwakomoe yanga.
 
Maguli amesha athirika na kile kitendo alichofanyiwa na mchezaji wa Mbeya City.

Tusianze kumtupia majungu.!

Nyie mlichokosea ni kumwacha tabwe na kuchukua okwi, ili muwakomoe yanga.

Kaangalie Takwimu zako vizuri, Okwi na Tambwe wote wamewahi kucheza Simba pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…