Live updates: MTVMAMA Awards 2015!



Hebu soma tena vizuri nilichokiandika mama, weka hisia pembeni na utaona siko against Diamond wala yeyote kama mnavyotaka kuamini. Nimetoa ushauri tu kama MTanzania mwingine yeyote anayefurahia mafanikio ya kijana wetu, jinsi gani tunasonga mbele. Hakuna mahali nimezungumzia yeyote kuringa, acheni hizi habari bana.

Nimem-support Jamaa mara kadhaa, kwenye nyuzi kadhaa, majukwaa kadhaa, kama hukuona bahati mbaya.

Narudia tena, soma vizuri nilichokiandika kwenye comments zangu tafadhali.
 
Eeeeeeeh na upite kimyakimya hivo hivo..

Asante chibu kwa kunirekebishia saa mbovu hizi

MTANYOOKA TU

Come on man, really? I knew you people were special, but i never thought you were this special. I'm showing some love for the homeboy, and this' the thanks i get? Are you people serious right now?
 

sina haja hiyo ungeandika hapa hayo magazeti uliyoandika walipokuwa wanataka kumshusha kwa kila njia na hiyo manejimenti yake ndio imesaidia kumpa sapoti pia bali tunajua ni mgumu kuumia na ugumu wa kusakamwa na hao maddu wa wivu ndio anawapiga butwaa kutwa. na pia sijasoma zako zote zaidi ya posti moja zingine napitisha macho juu kwa juu vizuri kujua unamshabikia pia hauna chuki kwake. pia waache kutafuta kiki kwa kumtaja taja. ni vizuri kamjibu wamezidi, hawaelewi kuachwa na Diamond kuendelea na maisha. wanajua ni super star wa level ya juuuuuuuuuuuu

nasubiria michambo mingine akome/wakome woteeeee kujiliza wakati wanamshushaga kwenye media juu ya kazi yake.
 
msisahau na furaha furaha hizi kuna tuzo za Uganda Entertainment Awards huko instagram unampigia kura kwa kuandika hivi chini ya picha ya Diamond saka zote uandike zihesabike

#UEADIAMOND

chini ya picha/video yake tu kwenye account ya hao wa jina hilo juu.
Kidingi za marekani pia zimo humu niite nije nipatie link humu nianze piga mie, aksante.
 
Last edited by a moderator:
ngoja niwasiliane na wadau wanitumie picha
 

Leteni malink hayo tuvote. Love you girl
 
Last edited by a moderator:
He will never hao teamvote for Davido ni wachache saba compare na team Mondi
 
Ifike wakati tuwe tunashabikia vyetu kama nchi. Hizi timu za chuki zinamadhara katika ustawi wa vijana wetu na muziki wetu.
 
* Congratulation to Diamond..I voted many times and I believed against all odds utakuja na even one tuzo back to our country...and you've made it...you've made us all proud...

* Wanafiki waliponda sana, things like operesheni vote for davido ili tu kuangusha muziki wako, lakini you've shown once again kwamba hata kama walibana KTMA ili uonekane hujui,whole continent watching your music proved that you are talented and you deserve an award....

* Mashabiki wa #TeamStress wamedoda, umewaziba mdomo, hawana jipya, wanaishia kukupongeza tu...wamekuwa wapole hadi huruma....#UnafikiHaulipi
 

Mkuu wamenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…