Wasalaam wana jamvi!
Bila shaka sikuu imekuwa njema kwa kila mtu!
Leo kuna tukio kubwa kwenye tasnia ya burudani Africa nalo ni tunzo za MTV zitakazo fanyika Durban leo!
Wanamuziki wa tanzania wanatarajiwa kung'ara kwa kurudi na tunzo nyumbani kwa huu ni mwaka wetu na ni mwaka wa mafanikio zaidi!
Watanzania wanao wania tunzo hizo ni Diamond platinumz ambaye yuko kwenye vipengele vitatu
: Msanii bora wakiume
:Mtumbuizaji bora
:Wimbo bora wa kushirikiana!
Vannesa Mdee naye anawania tunzo ya msanii bora wa kike!
Ni ukweli ulio wazi Diamond anatarajiwa kunyakua na atanyakua tunzo zisizo pungu mbili(2)
Huku Vannesa akirudi nyumbani na tunzo ya msanii bora wa kike!
Pamoja na utoaji wa tunzo tunataraji kushuhudia show ya Diamond ,Davido na wengine wengi!
Basi msikae mbali na TV zenu(Dstv) na pia tutajuzana hapa kila kinacho tokea huko!
View attachment 269136
Updates...1
Diamond ameshinda tunzo ya Mtumbuizaji bora (Best live Act MTVMAMA 2015)
Updates 2,,
Best group...
P .square(Kundi bora)MTVMAMA
Updates 3
Best pop &alternative goes to Jeremyloops!MTVMAMMA
Updates 4
Personality of the year award goes to Trevor Noah(SA)MTVMAMA
Updates 5
Evolution award goes to Dbanj (Nigeria)MTVMAMA!
Updates 6
Best Female awards goes to Yami Alade!MTVMAMA!