Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,669
- 167,716
Karibu sana tulikumiss mnooooKimasomaso...
#sankoro ...
Nimejaa furaha tele mie
Namfurahia Chibu na wote waliovoti, sapoti na mashabiki wote duniani na watanzania wote kwa kupeperushiwa bendera Naseeb.
Award ya MTV sio mchezo ni pambano haswa.
Utadhani wakati wa kura walijua chibu mchina ha ha ha leo tuzo ndo mtanzania mwenzetu ha ha ha moyo tii tii tiiiii unakimbiaaaaaaa
best VIDEO NIIIIII NAFUKWAAA
TUZO ZA MTVMAMA2015: Msanii Diamond Platinumz atwaa tuzo ya msanii bora kwa upande wa maonyesha ya moja kwa moja "Best Live Act" huko Durban, Afrika Kusini.
Pasco
Wapo nje wanaota jua ha ha haWap timu wema/kidoti?
Wakuu tuachen ushabiki team tuweke kando.
Hivi kweli Vanessa eti analia kisa kakosa tuzo? Hiv alitaka amshinde yemi Alade? Labda angekuwa Linah au snura hapo sawa.
Wale waliokataa kumpigia promo Diamond eti mpaka awapigie magoti na kuunda kikundi chao cha kumpigia promo Vannessa pekee, sijui wanajisikiaje wakati kama huu. Maana waliyemu Ignore kapata na waliyempa hizo promo kakosa.. NAWAZA TU