Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,984
Reaction score
134,131
Kamanda wenu nimefura kwa stress za kufanya ovyo ktk Liki Kuu!Sio ishu,nawaletea live updates mpira mkubwa Mnyama anakipiga na Yanga,Updates FT, SIMBA 1:YANGA 1
 
kwani Simba na Yanga wanagombea nini? Yanga akishinda wanapata nini?
yanga ikishindi anabaki nafasi ya pili na atashiriki african conferadation cup mwakani, simba ikifungwa inamaliza ligi katika nafasi ya tano. je umeona kinachotafutwa?
 
yanga ikishindi anabaki nafasi ya pili na atashiriki african conferadation cup mwakani, simba ikifungwa inamaliza ligi katika nafasi ya tano. je umeona kinachotafutwa?

sawa bhana, mkolaj mimi nilifikiri kuna kikombe wanagombea!
 
Last edited by a moderator:
Leo wazee wa mafuriko fc na mambumbumbu fc!!

Leo tunakabidhiwa ndoo yetu pale chamanzi.
 
TANESCO na YANGA wameingia mkataba wa kuzalisha umeme katika bwawa la jangwani

Mkurugezi wa TANESCO Eng.Mramba na Meneja mradi wa Yanga Dk.Mzee Akilimali wamesema mkataba huo ni wa miaka 20.

Awali bwabwa hilo lilipangwa kwa kufugia Kambale..
 
Tangazo Tangazo.

Wale wanachama wa mambumbumbu FC mnaombwa jumatatu kubeba mafyekeo,mapanga,majembe na kuelekea bunju ili tutengeneze pitch yetu.

pia michango ya viti bado inapokolewa hasa vya pale Taifa so mking'oa hata 10 vinatosha.

BY RAGE.
 
Yanga akifungwa anashuka hadi nafasi ya 4...na lazima apigwe tu,hamna nanmna nyingine
 
Kamanda wenu nimefura kwa stress za kufanya ovyo ktk Liki Kuu!Sio ishu,nawaletea live updates mpira mkubwa Mnyama anakipiga na Yanga,

...leo mechi kali itakuwa kati ya:
1. TZ Prisons & Ashanti U.

2. Coastal U & Kagera S.
3. Mbeya C & Mgambo
4. Oljoro - Mtibwa S.
5. Rhino R & Ruvu Shooting
6. Ruvu & Azam

=============
Yanga Vs Simba [MTANI JEMBE]
 
Yanga akifungwa anashuka hadi nafasi ya 4...na lazima apigwe tu,hamna nanmna nyingine
mkuu hivi ni mzima kweli! au malaria yamepanda kichwani au pressure ya gemu imepanda sana....!!!
 
Tangazo Tangazo.

Wale wanachama wa mambumbumbu FC mnaombwa jumatatu kubeba mafyekeo,mapanga,majembe na kuelekea bunju ili tutengeneze pitch yetu.

pia michango ya viti bado inapokolewa hasa vya pale Taifa so mking'oa hata 10 vinatosha.

BY RAGE.

Mkuu puguza porojo, wewe ni mtu mzima unajua,mbona unakuwa kama ''dogo'' anayejifunza kuvuta bangi
 
1397906948101.jpg mnyama Lazima akalie leo 3 kwa Bila.
 
1397907534171.jpg Hivi. Bado siku ngapi kufika mia za ujenzi wa uwanja.?
 
Back
Top Bottom