Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
Biblia ipo na itaendelea kuwepo kabla ya ukoo wako kuwepo na itakuwepo na uzuri vitu vyote vitapita Bali NENO LA MUNGU LITADUMU MILELE.Kwa iyo usijisumbue kuhusu Biblia maana hata siku ya HUKUMU UTAUKUMIWA KWA NENO.Neno moja nakwambia kuwa MSINGI WA NENO LA MUNGU UMESIMAMA WENYE MIHURI HII BWANA ANAWAJUA WALIOWAKE NA KILA ALITAJAYE JINA LA BWANA NA AUACHE UOVU.Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.
Wananchi wakinyoosha mikono hewani ishara ya kukubaliana na uamuzi wa Kamati Kuu kuazimia kuwa Red Brigade iimarishwe kwa kupewa mafunzo ya UKAKAMAVU na kisha wakanyoosha mikono kama ishara ya kukubaliana na uamuzi wa CHADEMA kujilinda, self defence, baada ya mashambulio kadhaa yakiwemo majaribio ya kulipuliwa kwa bomu.
Mkuu Ng'wanangwa, Hako ka Quote Kako Hapo Chini Huwaga Kananikumbusha TE na CS za Dr DDD, TE 341 (Digital Electronics For Engineer 11), CS 451 (Computer Engineering 111 au Mwenye alikuwa anaiita Computer Architecture For Engineer) na TE 442 (Digital Electronics for Engineer 111 Bia Kusahau VLSI, Lol !!!!!!
"REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha"
Mkuu Mohamedi Mtoi hesabu ya leo ngapi mkutanoni?
Mbowe siyo mwanasiasa.
Mkuu Mohamedi Mtoi hesabu ya leo ngapi mkutanoni?
Wananchi wakinyoosha mikono hewani ishara ya kukubaliana na uamuzi wa Kamati Kuu kuazimia kuwa Red Brigade iimarishwe kwa kupewa mafunzo ya UKAKAMAVU na kisha wakanyoosha mikono kama ishara ya kukubaliana na uamuzi wa CHADEMA kujilinda, self defence, baada ya mashambulio kadhaa yakiwemo majaribio ya kulipuliwa kwa bomu.
Heshima yako mkuu Chief Isike.
mkuu mingoi,badilika kifikra na kimtazamo!wenzio wamebadilika!acha uvuvuzela.