Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

Nilitoweka na kushindwa hata kupost baada ya kusikia mkusanyo wa kodi ndani ya serikali tawala

Enzi ya Mwinyi alikuwa anakusanya bilioni 27 kwa mwezi
Enzi ya Mkapa alikusanya 265 bilioni kwa mwezi
Akaja Fisadi Jk anakusanya trilion 1 kwa mwezi tangu mwezi wa 11 mwaka jana na hata kwa leo mahesabu ndiyo hayo na nilizimia baada ya kusikia hivyo!

ccm ifie mbali kwa Watanzania loh!
 

Unataka kusema nini? maana toka 265 billion mpaka 1 trillion ni mafanikio makubwa sasa wewe unazimia kwa furahi au?
 
Crashwise, wasiishie Arusha pekee. Waende mpaka Tanga huko ndani kabisa!
 
Last edited by a moderator:

Duh!! Hii hatari maana nakumbuka kipindi cha Mkapa kila mwwezi alikua anatoa taarifa ya makusanyo lakini sasa hivi hizi taarifa ndio nimezipata kupitia post yako
Tanzania hatustahii kua maskini hata kidogo
 
Duh lazima wamwagane kama kawaida yao ktk mikutano yao
 
Unataka kusema nini? maana toka 265 billion mpaka 1 trillion ni mafanikio makubwa sasa wewe unazimia kwa furahi au?
Tunapaswa kunufaika zaidi lakini matokeo yake ndiyo deni la taifa linazidi kuongezeka kila kukicha wewe unaona ni sawa yaani wananchi wanataabika huku kila kukicha wanazidi kudaiwa...afadhali udaiwe lakini hali za wananchi wako ni nzuri...
 
Nipo wilayani Hai makamanda,nasikitika kuukosa mkutano..ila nikiwa katibu mwenezi wa cdm kata hapo arusha naahidi ushirikiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…