Live Updates: Mechi za Funga dimba VPL,Yanga kuhangaikia nafasi ya pili

Timu ya Wananchi itamaliza kwa kishindo dhidi ya wana Paluhengo huku Bodaboda fc au Mikia wakitiwa Korokoroni na Polisi
 
Kila lakheri Lipuli fc, Coastal Union, Ruvu Shooting, Azam fc, pamoja na Mabingwa wa nchi Mnyama mkali Simba sc.

Tukutane 2020/2021
 
Duh huo uwanja sasa ni kiparaaaa ila Simba tunapiga sambusa kama tupo Simba Mo Arena
 
Kila la heri mtani.....mjipooze na ushindi wa Pili,mwakani maweza kucheza mtoano na Singida United!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…