OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,178
- 103,660
Mechi za funga dimba
Msimamo wa VPL
Kikosi cha Mnyama
Kikosi cha Yanga
Updates Half Time
Updates Full Time
Utopolo watajidai hawaoni ulichoandika😂😂😂😂9' Prison 0- 1 Azam
Yanga huzuni
Wakati timu ya wananchi mnatafuta gori 1 sisi mabingwa wa nchi tayati tunaongoza kwa gori mojaTimu ya Wananchi itamaliza kwa kishindo dhidi ya wana Paluhengo huku Bodaboda fc au Mikia wakitiwa Korokoroni na Polisi
Watajidai hawajaona Hilo😂😂😂Wakati timu ya wananchi mnatafuta gori 1 sisi mabingwa wa nchi tayati tunaongoza kwa gori moja
Marehemu kafufukia kaburini!!Lipuli 0- 1 Yanga
Prison 2- 1 AzamMarehemu kafufukia kaburini!!
Leo Boko anaondoka na mpiraaaaaNi John Bocco anapiga goli la 2
Polisi 1- 2 Simba