Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

Saf sana hahahahaha kichapo cha simba kimenipa raha waiter niongezee nyingine ya barid
 
Mpira umekwisha,. Nikiripoti toka mbeya ni mimi ndomyana wa jf
 
Kama kawaida , tupeane taarifa za matokeo ya mechi zote za leo , leo mbeya sokoine mtibwa sugar atakuwa akipelekwa puta na Mbeya city , wapenzi wa Mbeya city twendeni tuipe sapoti timu yetu , najua wengi mtakuwa na hamu ya kuiona timu yenu na kuisapoti wapate matokeo mazuri . Mbeya city msiwaangushe mashabiki wenu.

Mashabiki wenu wanasubiri kwa hamu kuona Simba anakufa tena hapo Mbeya siku ya Jumamosi. CC. Crashwise (uko wapi? Husomeki).
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom