MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
leo n siku muhimu sana kwa wanafunzi wa udsm wanaopatiwa shahada zao leo
je wewe unakumbuka wapi unaposikia maneno haya
kwa mamlaka niliyokabidhiwa nawatunikia digrii ya............ya chuo kikuu cha dar es salam
2009 nilitunukiwa udaktari wa falsafa (Nyeto)[/QUO
Weekend ni shidaaaa...
Weekend ni shidaaaa...2009 nilitunukiwa udaktari wa falsafa (Nyeto)
bado yupo huyo mzee wa water resource engineeringNaanza na Prof Mayoooo sijuikama yukohai bado