Leo jumatano usiku, Chelsea inakutana tena na Manchester united lakini sasa ni katika kombe la Ligi(Capital one cup zamani Carling cup).
Wadau popote mlipo tunaomba live updates!!!
................................................
UPDATES
*Dk 28 Manchester utd wanapata goli la kwanza kupitia Giggs.
*Mchezo umebalance, kuna kadi mbili za njano zote Chelsea nao ni Romelo, Obi Mikel.
*Dk 34 Chelsea wanasawazisha kwa penati kupitia kwa David Luiz
*Dk 43 Manchester Utd wanapata bao la pili kupitia Chicharito.
*Mechi ni mapumziko, Manchester Utd ikiwa mbele kwa magoli 2-1
*Dakika 51 Chelsea wanasawazisha kwa kupata goli la pili kupitia kwa Cahill, mpira sasa ni 2-2
*Dk 59 Manchester Utd wanapata goli la tatu kupitia kwa Nani.
Kwa sasa Manchester Utd wanaongoza kwa magoli 3-2.
*Dk 89 Chelsea wanasawazisha goli la tatu, sasa ni 3-3
*Dk 90 zimekwisha mabao ni 3-3 hivyo mpira unaongezwa dakika 30 ili mshindi apatiKane
*Chelsea wanapata goli la nne, hivyo magoli ni 4-3
*Chelsea wanapata goli la tano hivyo magoli ni 5-3
*Manchester Utd wanapata goli la Nne kwa njia ya penalty mfungaji akiwa Giggs, hivyo magoli ni 5-4 Chelsea wakiwa mbele.
****MPIRA UMEKWISHA: CHELSEA 5- 4 MANCHESTER Utd
HONGERA CHELSEA!!!!!