Chelsea anasawazisha bao ni 2;2 dakika ya 53
Hapana, safari hii refa kajitahidi ku-balance na kusema ukweli Man U leo walikuwa ngangari. Ila refa kapepesa macho na "kuwazawadia" Chelsea penati ya bure ya kusawazisha na matokeo yamekuwa 3-3! Dunia hii haiishi maajabu!kama kawaida, refa haishi vituko IN FAVOUR OF MAN UTD.
Jamaniiiiiiiii kwa hiyo mnasema chelsea kapendelewa?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kumbe na humu jf kuna watu wana makengengeza...eeeh hawaoni vizuriHii penalt, katoa tu kuua soo, huyu ramires hakuguswa kabisa kaanguka tu mwenyewe tena kwa kujirusha.