Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Mkuu we utakuwa umetoka kijijini aisee...Au ni shabiki wa timu za kibongo...hii analysis yako kiboko

Mshabiki wa Bayan,bacelona na chelsea hawez kunielewa....polee

Alafu sijafanya analysis yoyote hapo.
 
Mourinho kweli hana akili kipa mzuri namna hii anamweka benchi...sasa ona anavyowabania baada ya kuuzwa.

Hajauzwa mkuu yupo kwa mkopo ATM ni mchezaji wa chelsea huyo
 
Yaani hawa atletico madrid wanakaba utafikiri wameambiwa wakifungwa ni mwisho wa dunia.
 
Ndiyo maana mimi uwa nasema Maureen siyo mwalimu mzuri wa mpira...yeye ni mjanja mjanja tu...

Ninasubili kumsikia atasemaje baada ya mpira

Ohh kumbe Stamford Bridge na wao wanatoka Kapa kama Ol Traford vile

Safi sana

Anfield kapa, Stamford Bridge kapa, Emirates {Dah Hull City plz do us a favour}
 
Hii itakua UCL semi ya tatu kwa Mourinho akiwa na the bluz bila kuonja fainali
 
Ewe MOLA tunusuru na mkasa wa kutolewa nyumbani.

Ewe MOLA tusaidie kulipa kisasi kwa huyu kiumbe, maana ulisema Kisasi ni cha BWANA! Sisi hatuna uwezo wa kimlipizia ubaya yote tumekuachia wewe BWANA wa majeshi!
 
Duh! Hii ni kali aisee...

Eti Maureen anaulizwa: "unaleta basi kwenye lami za formula one?"
 
Kama mpira utaisha hivi basi nategemea kuona fainali tamu yenye mpira wa kasi na kufunguka kwa saaana.
 
Man Utd mnapata another Candidate wa ukocha ubaya Abromovich atasubiri hadi Man utd watangaze kocha mpya ndo amfukuze Mourinho
Cc Belo, DonDonald, Nzi, Mndengereko
 
Dk 10 za mwisho ndio tunaona Ma Bus ya Blue yamejaa na kwenda Mbele mwa atletico Madrid Chelsea nyuma yamebaki ma bus ma 3 tu dk za mwisho.
 
Ninasubili kumsikia atasemaje baada ya mpira

Ohh kumbe Stamford Bridge na wao wanatoka Kapa kama Ol Traford vile

Safi sana

Anfield kapa, Stamford Bridge kapa, Emirates {Dah Hull City plz do us a favour}

Hao Emirates hata wachukue haina shida...nilikuwa na tabu sana ya Loserfools kushinda EPL na hawa Chel$ki$ kushinda UCL...
 
Nzi, umefuata nini huku? Utamsababishia presha morinyo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…