Live Updates: Azam & Simba Matches

Mbeya City a.k.a #NguvuYaSoda ....Keshaanza kupigwa na Sokoine sasa...

Na Prisons wanayoizomea na kuinyanyapaa imeanza kufanya vizuri Sokoine...Malipo ni hapahapa Duniani.....
 
  1. Dk 81, Uhuru anapiga shuti kubwa juu ya lango
  2. Dk 72, Owino anapiga kichwa lakini kipaa juu ya lango
  3. Dk 44, Badru anamtoka beki wa Mgambo lakini shuti lake linapaa juu
  4. Dk 65, Messi anapiga mpira wa adhabu na kupaisha
  5. ,
 
Tetesi:
FT:MGAMBO1-0SIMBA
cc Masuke
Mechi ya leo ya Simba imeniumiza sana na kwa mwenendo huu kati ya mechi tatu za ugenini zilizobaki kuna hatari ya kuvuna pointi chini ya tatu, tunaweza kufurukuta Mbeya lakini Kagera uwezekano wa kufungwa ni mkubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
  1. Dk 81, Uhuru anapiga shuti kubwa juu ya lango
  2. Dk 72, Owino anapiga kichwa lakini kipaa juu ya lango
  3. Dk 44, Badru anamtoka beki wa Mgambo lakini shuti lake linapaa juu
  4. Dk 65, Messi anapiga mpira wa adhabu na kupaisha
  5. ,

wapigwe tu hao wagonjwa wa degedede
 
Asante MM kwa kujibu sehemu ya 2 ya dua.
 
Last edited by a moderator:
Jaman MIKIA FC ametokaje ndo kwanza nmeingia humu ndan na page ya mwisho
 
Mechi ya leo ya Simba imeniumiza sana na kwa mwenendo huu kati ya mechi tatu za ugenini zilizobaki kuna hatari ya kuvuna pointi chini ya tatu, tunaweza kufurukuta Mbeya lakini Kagera uwezekano wa kufungwa ni mkubwa sana.
mkuu kwenu kagera ni wagumu kuliko mbeya city??
 
safi sana, nasubiri lawama za msemaji wa mtibwa thobias kifaru!

ubaya wa wapiga nyundo hawa mbeya city usiombe utangulie kuwafunga maana ndio unawachokoza zaidi, ni bora wao waanze kukufunga japo unaweza kutoa droo, muulize cannavaro, mbuyu twite na yondani kilichowakuta siku ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…