Mkuu mchezaji mzuri hachagui nchi atokayo, Abdallah Juma aliwahi kuwa mfungaji bora mara mbili mfululizo na anatokea kwa wala urojo, tulitarajia atokee Kigoma, Mbeya, Mwanza au Morogoro.