Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

kagera sugar wanacheza sana pasi nyuma
 
Mwombeki anapoteza nafasi...anapiga nje
 
said ndemla anakosa bao la wazi , simba hawako makini
 
Issa Rashid wa Simba SC yupo chini kaumia...mpira umesimama
 
Mwombeki anapiga shuti lakini halina macho linatoka nje...

Kipa wa Kagera anaanza pale ile goal kick...
 
Naona leo jukwaa limeingiliwa na mwehu, sijui ni shabiki wa Mbeya city huyu?
 
Simba wanapiga majimaji isiyo na macho...Kagera wanaokoa
 
Simba naona kama wameanza kuamka hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…