Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Majanga mengine leo yanakuja msimbazi.
Kiwanda cha kagera sugar kimewaahidi wachezaji wao tsh 100m endapo wataipiga simba.
Milioni mia wakati sukari yenyewe tunatumia ya kutoka nje si watafilisika kabisa.
 
Siku ya Azam, Amri Kiemba na Zahoro Pazi hawakucheza vizuri sana, ngoja tuone leo itakuwaje.
 
Kagera, mukitaka kumuua mnyama mkateni mkia tu, kwisha habari yake.
 
simba wanacheza kasi wamedhamilia kushinda leo
 
Mkuu, sikuile walikutana na mafundi wa soka, sio abrakadabra.
Haya mmiliki wa timu ya mafundi, mtaani kwetu tunataka kujenga daraja vipi hao mafundi wanaweza kuja kutoa service?
 
Nazungumzia mafundi soka, kuhusu ujenzi wa madaraja nakushauri kutana na John Pombe Maguful.
Haya mmiliki wa timu ya mafundi, mtaani kwetu tunataka kujenga daraja vipi hao mafundi wanaweza kuja kutoa service?
 
amis tambwe yeye na kipa anakosa bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…