ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Leo ni draw tu tena pacha ingawa kwa simba ni ushindi
sasa wale vizabi zabina waliokuwa wanasema oooh Mbeya city wanavurugu..oh sijui wanywa viroba,sasa mmewaona wanywa viroba wa kweli?
sasa wale vizabi zabina waliokuwa wanasema oooh Mbeya city wanavurugu..oh sijui wanywa viroba,sasa mmewaona wanywa viroba wa kweli?
MCC ni tofauti, hupiga magari ya timu pinzani hata kabla ya mechi. SSC wamefanya vurugu baada ya kuchomekewa bao tata. Ni kweli wameonewa, hatua waliyochukua haikubaliki pia. Ni lini MCC walionewa zaidi ya kuwapiga wapinzani mapema ili kuwachanganya kisaikolojia.
kweli simba na yanga mmevurugwa,mkifanya nyie sahihi ila wakifanya wengine makosa,sasa ndio ustaarabu gani wa kungoa viti uwanjani?tena inabd mpigwe tu..eeh nasema mpigwe tu maana mmezidi.
Mkuu Katavi sijatukana mie, inaudhi sana nchi maskini tunajiongezea gharama za kukarabati uwanja, mwamuzi kavurunda na bado yupo uwanjani kwa nini msimcharaze? Mnaong'oa viti kwa kosa gani? Tafakarini njia zenu.
Baadhi ya mashabiki wa Simba wanaamini ilikuwa ni penalti, lakini mwamuzi alipaswa kuimezea kwa sababu ilitokea katika dakika za mwishoni. Swala langu kwao ni iwapo mzee wa miaka 100 anapoua kwa kukusudia, ndio asihukimiwe kifo?tambwe ndo kafunga , kagera wamesawazisha kwa penati dakika ya 90 +4. Baada ya hapo mashabiki wa simba wakaanza kungoa viti baada ya tv kuonyesha replay ambayo inaonyesha madhambi yalifanyika nje ya 18. Hata hivyo ffu walifanya kazi yao ipasavyo.