Wekundu wa msimbazi Simba leo watashuka uwanja wa taifa kuwakaribisha wakatamiwa wa kagera, Kagera Sugar, mchezo wa leo ni ''MUST WIN GAME'' kwa Simba baada ya kupoteza points kadhaa katika michezo 4 iliyopita.
Ushindi wa leo kwa Simba utawarudisha kileleni wa msima wa ligi, Simba imeongezewa nguvu zaidi baada ya wachezaji majeruhi Amis Tambwa na Nasorro Chollo kurudi uwanjani.
Mechi itaanza saa 10 kamili jioni na itakuwa live kupitia TBC1
wanapigwa wa kina nani hao mkuu?
Ukweli uliopo ni kwamba Simba leo anatoa dozi uwanja wa taifa, sasa wewe izi za kufungwa sijui umezitoa wapi? Tambwe 2 , Messi 2
simba ndo timu ya watanzania sasa sijui kama wataombea timu yao ifungwe
Hahahahaaaah!Leo ni draw tu tena pacha ingawa kwa simba ni ushindi
Majanga mengine leo yanakuja msimbazi.Wekundu wa msimbazi Simba leo watashuka uwanja wa taifa kuwakaribisha wakatamiwa wa kagera, Kagera Sugar, mchezo wa leo ni ''MUST WIN GAME'' kwa Simba baada ya kupoteza points kadhaa katika michezo 4 iliyopita.
Ushindi wa leo kwa Simba utawarudisha kileleni wa msima wa ligi, Simba imeongezewa nguvu zaidi baada ya wachezaji majeruhi Amis Tambwa na Nasorro Chollo kurudi uwanjani.
Mechi itaanza saa 10 kamili jioni na itakuwa live kupitia TBC1
Wekundu wa msimbazi Simba leo watashuka uwanja wa taifa kuwakaribisha wakatamiwa wa kagera, Kagera Sugar, mchezo wa leo ni ''MUST WIN GAME'' kwa Simba baada ya kupoteza points kadhaa katika michezo 4 iliyopita.
Ushindi wa leo kwa Simba utawarudisha kileleni wa msima wa ligi, Simba imeongezewa nguvu zaidi baada ya wachezaji majeruhi Amis Tambwa na Nasorro Chollo kurudi uwanjani.
Mechi itaanza saa 10 kamili jioni na itakuwa live kupitia TBC1
UPDATE
Kikosi cha Simba
1. Abel dhaira
2. Nassoro chollo
3. Issa rashid ''baba ubay''
4. Hassan khatib
5. Joseph owino
6. Jonas mkude
7. Singano messi
8. Said ndelma
9. Amis tambwe
10. Amri kiemba
11. Zahoro pazzi
Wamechelewa hao kagera kibano kipo pale pale
Majanga mengine leo yanakuja msimbazi.
Kiwanda cha kagera sugar kimewaahidi wachezaji wao tsh 100m endapo wataipiga simba.
Me nijuavyo timu ya wananchi ni moja tu nayo ni TAIFA star.Jibu lako tu, linaonyesha kuwa unaijua timu ya wananchi ni ipi!