Live update: Simba SC va Azam FC

Simba wanatumia 4-4-2 na
Azam wanatumia 4-3-3
 
Hawa simba Na azam ni ndugu...sitarajii upinzani wa dhati
 
Mkuu naombea mpate sare ili kesho yanga wamchape mtu waongoze ligi.

Naona wee unawaangalia, Simba na Azam tu kumbuka Mbeya City akishinda hata kama Yanga wakishinda bado Mbeya City ndo atashika usukani
 
naaafasi kwa simba
wanakosa hapa
 
Nimeamua bora nizime TV maana kuanzia dakika 5 za mwanzo hakuna hata mpira unaoeleweka. Ngoja nilale mie.
 
Nitafurahi kama matokeo yatakuwa hivi
Azam 0-0 Simba
T Prison 2-1 Mbeya city.
mechi zingine hazina madhara kwa YANGA.

Kwasisi tunaopenda Hisabati, hii probality ni ndogo sana
 
Hivi gemu hii haionekani online?
 
azam wanapata faulo kwenye eneo la hatari wanakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…